Isaiah 18:2

2 aiwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari
kwa mashua za mafunjo juu ya maji.

Nendeni, wajumbe wepesi,
kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo,
kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu,
taifa gomvi lenye lugha ngeni,
ambalo nchi yao imegawanywa kwa mito.
Copyright information for SwhNEN